KOPA LEO INVESTMENT 

KOPA LEO INVESTMENT 

Menu

KARIBU KOPA LEO TZ

KARIBU KOPA LEO MICROFINANCE LTD

KAMPUNI PEKEE INAYOTOA MIKOPO KWA RIBA NDOGO. 

▾KAMPUNI HII IMESAJILIWA KWAAJILI YA UTOAJI HUDUMA KWA NJIA YA MTANDAO NA MALIPO YOTE HUFANYIKA KWENYE LIPA NAMBA YA KAMPUNI. FOMU INAPATIKANA MWISHONI MWA MAELEZO HAYA SOMA MWONGOZO UELEWE TAFADHALI KABLA HUJAJAZA FOMU KAMA UNA SWALI ULIZA KUPITIA WHAT'SAPP NAMBA 0621244975 

Karibu tukuhudumie.

KOPA LEO online microfinance

UTANGULIZI 

Hii ni KOPA LEO microfinance, Taasisi binafsi ya utoaji mikopo kwa njia ya Mtandao (online) mteja anaruhusiwa kukopa kuanzia LAKI MOJA (100,000) HADI MILLION KUMI (10,000,000) kwa dhamana ya AKIBA kulingana na mkopo anaohitaji.

OFISI KUU

Ofisi zetu zinapatikana Dodoma, Mtaa wa Uhindini plot no 206 block L Ghorofa ya pili. Tunatoa huduma kwa njia ya mtandao online hatutoi wala kupokea pesa mkononi.

KOPA LEO INVESTMENT 

KOPA LEO TZ is licenced by:

Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA)

Licence Number: TCRA/ASeC/00271/2021


VIGEZO & MASHARITI 

1- Unatakiwa kuwa mtanzania (bara au visiwani) mwenye umri kuanzia miaka 18-65.

2- Unatakiwa kujua kusoma na kuandika vizuri lugha ya kiswahili.

3- Unatakiwa kuwa na kipato angalau Laki Moja (100000/=) kwa mwezi, Ili uweze kumudu marejesho pindi unapokopa.

4-Picha Yako harisi

5-Picha ya kitambulisho chako, Endapo huna kitambulisho chochote hakikisha unakuwa na namba ya NIDA. Unatakiwa kuwa na kitambulisho kimoja kati ya

(a): kitambulisho Cha mpiga kura,

(b) leseni ya udereva,

(c) kitambulisho Cha nida, (d) kitambulisho Cha Mzanzibari,

(e) leseni ya biashara,

(f) passport ya kusafiria, au cheti cha masomo.

6-Unatakiwa kuwa na Pesa ya akiba pindi unapomaliza kujaza fomu. Malipo ya akiba ni sharti la muhimu na lazima. Hivyo Ili kuepuka usumbufu usijaze fomu bila ya kuwa na Pesa ya akiba.

SABABU KWANINI ULIPE AKIBA KABLA YA MKOPO

Utaratibu wetu sisi KOPA LEO TZ , ni sharti la lazima kwa Kila anaetaka mkopo,baada ya kujaza fomu anatakiwa kufanya malipo ya akiba kwa sababu zifuatazo

(A):Malipo hayà huwa kama sehemu ya dhamana ( security ya mkopaji)

(B); Malipo hayà huchagiza mzunguko mzuri wa Pesa ndani ya taasisi kwani Endapo mkopo utatoka bila kuwapo Rejesho ndani ya mwezi mmoja itapelekea upungufu mkubwa wa mzunguko wa pesa kwa kuzingatia kuwa yapo matumizi ya taasisi kwa mwezi kama vile kulipa mishahara watumishi.

KOPA LEO TZ 

KOPA LEO is licenced by:

Bank of Tanzania(BoT).

Licence Number: MBPSL No. 0200-73

 CHAGUA MKOPO UNAOWEZA KUMUDU MAREJESHO YAKE 

VIWANGO VYA MIKOPO AKIBA NA MAREJESHO 


:mkopo wa laki moja 100,000 Akiba yake ni Tsh 10,000 na marejesho yake hufanyika kwa muda wa miezi 3 kila mwezi Tsh:35,000/=

Mkopo wa laki mbili 200,000 Akiba yake ni Tsh 20,000 na marejesho yake hufanyika kwa muda wa miezi 4 kila mwezi Tsh:52,500/=

Mkopo wa laki tatu Tsh 300,000/=, Akiba yake ni Tsh 30,000/= na Marejesho yake hufanyika kwa muda wa miezi 5 kila mwezi Tsh:63,000/=

Mkopo wa laki nne Tsh 400,000/=, Akiba yake ni Tsh 40,000/= na Marejesho yake hufanyika kwa muda wa miezi 6 kila mwezi Tsh:70,000/=

Mkopo wa laki tano tsh:500,000/=akiba yake ni Tsh:50,000 marejesho yake hufanyika kwa muda wa miezi 7 kila mwezi Tsh:75,000/=

Mkopo wa laki sita Tsh 600,000/= Akiba yake ni Tsh 60,000/= na Marejesho yake hufanyika kwa muda wa miezi 8 kila mwezi Tsh:78,750/=

Mkopo wa laki saba Tsh 700,000/=, Akiba yake ni Tsh 70,000/= na Marejesho yake hufanyika kwa muda wa miezi 9 kila mwezi Tsh:81,700/=

Mkopo wa laki nane Tsh 800,000/=, Akiba yake ni Tsh 80,000/= na Marejesho yake hufanyika kwa muda wa miezi 10 kila mwezi Tsh:84,000/=

Mkopo wa laki tisa Tsh 900,000/=, Akiba yake ni Tsh 90,000/= na Marejesho yake hufanyika kwa muda wa miezi 10 kila mwezi Tsh:94,500/=

Mkopo wa milioni moja Tsh:1,000,000/=akiba yake ni Tsh:100,000/=marejesho yake hufanyika kwa muda wa miezi 11 kila mwezi,Tsh:95,450/=

Mkopo wa milioni mbili Tsh 2,000,000 ,Akiba yake ni Tsh 200,000/= na Marejesho yake hufanyika kwa muda wa miezi 12 kila mwezi Tsh:175,000/=

Mkopo wa milioni tatu Tsh 3,000,000/=akiba yake ni 300,000/=marejesho yake ni muda wa miezi 12 kila mwezi Tsh:262,500/=

Mkopo wa milioni nne Tsh 4,000,000/=, Akiba yake ni Tsh 400,000/= na Marejesho yake hufanyika kwa muda wa miezi 12 kila mwezi Tsh:350,000/=

Mkopo wa milioni tano Tsh 5,000,000/=, Akiba yake ni Tsh 500,000/= na Marejesho yake hufanyika kwa muda wa miezi 12 kila mwezi Tsh:437,500/=

MKOPO WA MILIONI SITA TSH:6,000,000/=AKIBA YAKE NI TSH:600,000/=MAREJESHO HUFANYIKA KWA MUDA WA MIEZI 12 KILA MWEZI TSH:525,000/=

MKOPO WA MILIONI SABA TSH:7,000,000/=AKIBA YAKE NI TSH:700,000/=MAREJESHO HUFANYIKA KWA MUDA WA MIEZI 12 KILA MWEZI TSH:612,500/=

MKOPO WA MILIONI NANE TSH:8,000,000/=AKIBA YAKE NI TSH:800,000/=MAREJESHO YAKE HUFANYIKA KWA MUDA WA MIEZI 12 KILA MWEZI TSH:700,000/=

MKOPO WA MILIONI TISA TSH:9,000,000/=AKIBA YAKE NI TSH 900,000/=MAREJESHO HUFANYIKA KWA MUDA WA MIEZI 12 KILA MWEZI TSH:787,500/=

MKOPO WA MILIONI KUMI TSH:10,000,000/=AKIBA YAKE NI TSH 1,000,000/=MAREJESHO YAKE HUFANYIKA KWA MUDA WA MIEZI 12 KILA MWEZI TSH:875,000/=

ZINGATIA 

     HATUNA UTARATIBU WA KUKATA MALIPO YOYOTE KWENYE MKOPO WA MTEJA WA MARA YA KWANZA ENDAPO UTASHINDWA KUFUATA UTARATIBU WETU TAFADHALI USIJAZE FOMU 

X